Warumi 15:29
Najua ya kuwa nikija kwenu nitawaletea wingi wa baraka za Kristo.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
Cross References
Romans 1:10daima katika sala zangu. Namwomba Mungu akipenda, anipatie nafasi nzuri ya kuja kwenu sasa.
Ephesians 3:8Mimi ni mdogo kuliko watu wote wa Mungu; lakini amenijalia neema yake, ili niwahubirie watu wa mataifa utajiri wake Kristo usiopimika,
Ephesians 4:13na hivyo sote tuufikie umoja wa imani na kumjua Mwana wa Mungu; tuwe watu waliokomaa na kuufikia utimilifu wake Kristo mwenyewe.