Warumi 16:9
Salamu zangu zimfikie Urbano, mfanyakazi mwenzangu katika utumishi wa Kristo; salamu zangu pia kwa rafiki yangu Staku.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Salute Urbane, our helper in Christ, and Stachys my beloved.
In Context
8Salamu zangu kwa Ampliato, rafiki yangu katika kuungana na Bwana.
Cross References
Romans 16:2Mpokeeni kwa ajili ya Bwana kama iwapasavyo watu wa Mungu. Mpeni msaada wowote atakaohitaji kutoka kwenu, maana yeye amekuwa mwema sana kwa watu wengi na kwangu pia.