Warumi 7:8
Kwa kuitumia hiyo amri, dhambi ilipata fursa ya kuamsha kila aina ya tamaa mbaya ndani yangu. Maana, bila Sheria dhambi ni kitu kilichokufa.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
9Wakati mmoja mimi nilikuwa hai mbali na Sheria; lakini amri ilipokuja, dhambi ilifufuka,
Cross References
John 15:22Kama nisingalikuja na kusema nao wasingalikuwa na hatia; lakini sasa hawawezi kujitetea kwamba hawana dhambi.
Romans 4:15Sheria husababisha ghadhabu; lakini kama hakuna Sheria, haiwezekani kuivunja.
Romans 7:11Maana, dhambi ilichukua fursa iliyopatiwa na amri hiyo, ikanidanganya na kuniua.
Romans 7:17Basi, si mimi hasa ninayefanya kitu hicho, bali ile dhambi iliyo ndani yangu.
James 1:14Lakini mtu hujaribiwa anapovutwa na kunaswa na tamaa zake mbaya.