bible.software › 2 Timotheo › 2 Timotheo 4 › 2 Timotheo 4:9
2 Timotheo 4:9
Fanya bidii kuja kwangu karibuni.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Do thy diligence to come shortly unto me:
In Context
8Na sasa imebakia tu kupewa tuzo la ushindi kwa maisha ya uadilifu, tuzo ambalo Bwana Hakimu wa haki, atanipa mimi Siku ile na wala si mimi tu, ila na wale wote wanaotazamia kwa upendo kutokea kwake.
10Dema ameupenda ulimwengu huu akaniacha na kwenda zake Thesalonike. Kreske amekwenda Galatia, na Tito amekwenda Dalmatia.
Read all of 2 Timotheo 4
Cross References
2 Timothy 4:21Fanya bidii kuja kabla ya majira ya baridi. Ebulo, Pude, Lino na Klaudia wanakusalimu; vilevile ndugu wengine wote.
This Verse In Other Editions
Study 2 Timotheo 4:9