Matendo 10:9
Kesho yake, hao watu watatu wakiwa bado safarini, lakini karibu kufika Yopa, Petro alipanda juu ya paa la nyumba yapata saa sita mchana ili kusali.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
8akawaeleza yote yaliyotukia, akawatuma Yopa.
Cross References
Matthew 6:6Lakini wewe unaposali, ingia chumbani mwako, funga mlango, kisha umwombe Baba yako asiyeonekana. Naye Baba yako aonaye yaliyofichika, atakutuza.
Matthew 24:17Aliye juu ya paa la nyumba yake asishuke kuchukua kitu nyumbani mwake.
Mark 1:35Kesho yake, kabla ya mapambazuko, Yesu alitoka, akaenda mahali pa faragha kusali.