Matendo 28:1
Tulipokwisha fika salama kwenye nchi kavu, tuligundua kwamba kile kisiwa kinaitwa Malta.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And when they were escaped, then they knew that the island was called Melita.
In Context
Cross References
Acts 27:26Lakini ni lazima tutatupwa ufukoni mwa kisiwa fulani.”
Acts 27:44na wengine wafuate wakijishikilia kwenye mbao au kwenye vipande vya meli iliyovunjika. Ndivyo sisi sote tulivyofika salama pwani.