bible.software › Matendo › Matendo 28 › Matendo 28:12
Matendo 28:12
Tulifika katika mji wa Sirakusa, tukakaa hapo kwa siku tatu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And landing at Syracuse, we tarried there three days.
In Context
11Baada ya miezi mitatu tulianza tena safari yetu kwa meli moja ya Aleksandria iitwayo “Miungu Pacha”. Meli hiyo ilikuwa imetia nanga kisiwani wakati wote wa baridi.
13Toka huko tuling'oa nanga, tukazunguka na kufika Regio. Baada ya siku moja, upepo ulianza kuvuma kutoka kusini, na baada ya siku mbili tulifika bandari ya Potioli.
Read all of Matendo 28
Cross References
Acts 27:2Tulipanda meli ya Adiramito iliyokuwa inasafiri na kupitia bandari kadhaa za mkoa wa Asia, tukaanza safari. Aristarko, mwenyeji wa Makedonia kutoka Thesalonika, alikuwa pamoja nasi.
This Verse In Other Editions
Study Matendo 28:12