Luka 24:50
Kisha akawaongoza nje ya mji hadi Bethania, akainua mikono yake juu, akawabariki.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And he led them out as far as to Bethany, and he lifted up his hands, and blessed them.
In Context
51Alipokuwa anawabariki, akawaacha; akachukuliwa mbinguni.
Cross References
Mark 10:16Kisha akawapokea watoto hao, akawawekea mikono, akawabariki.
Acts 1:12Kisha mitume wakarudi Yerusalemu kutoka mlima wa Mizeituni ulioko karibu kilomita moja kutoka mjini.