Luka 24:51
Alipokuwa anawabariki, akawaacha; akachukuliwa mbinguni.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And it came to pass, while he blessed them, he was parted from them, and carried up into heaven.
In Context
50Kisha akawaongoza nje ya mji hadi Bethania, akainua mikono yake juu, akawabariki.
52Wao wakamwabudu, wakarudi Yerusalemu wakiwa na furaha kubwa:
Cross References
John 20:17Yesu akamwambia, “Usinishike; sijakwenda bado juu kwa Baba. Lakini nenda kwa ndugu zangu uwaambie: nakwenda juu kwa Baba yangu na Baba yenu, Mungu wangu na Mungu wenu.”
Ephesians 4:8Kama yasemavyo Maandiko: “Alipopaa mbinguni juu kabisa, alichukua mateka; aliwapa watu zawadi.”
Hebrews 4:14Basi, tunapaswa kuzingatia kwa uthabiti imani tunayoiungama. Maana tunaye Kuhani Mkuu aliyeingia mpaka kwa Mungu mwenyewe—Yesu, Mwana wa Mungu.