Yohana 16:15
Vyote alivyo navyo Baba ni vyangu; ndiyo maana nimesema kwamba huyo Roho Mtakatifu atawaambieni yale atakayopata kutoka kwangu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
14Yeye atanitukuza mimi kwa kuwa atawaambieni yale atakayopata kutoka kwangu.
16“Bado kitambo kidogo nanyi hamtaniona; na baada ya kitambo kidogo tena mtaniona!”
Cross References
Matthew 28:18Yesu akaja karibu, akawaambia, “Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
John 3:35Baba anampenda Mwana na amemkabidhi vitu vyote.
John 13:3Yesu alijua kwamba Baba alikuwa amemkabidhi kila kitu, na kwamba alikuwa ametoka kwa Mungu na anarudi kwa Mungu.
John 17:10Yote niliyo nayo ni yako, na yako ni yangu; na utukufu wangu umeonekana ndani yao.
Colossians 2:3Ndani yake zimefichika hazina zote za hekima na elimu.