Yohana 6:41
Basi, Wayahudi wakaanza kunung'unika kwa kuwa alisema: “Mimi ni mkate ulioshuka kutoka mbinguni.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
The Jews then murmured at him, because he said, I am the bread which came down from heaven.
In Context
Cross References
Luke 15:2Mafarisayo na walimu wa Sheria wakaanza kunung'unika: “Mtazameni mtu huyu! Anawakaribisha wenye dhambi, na tena anakula nao.”
John 6:33Maana mkate wa Mungu ni yule ashukaye kutoka mbinguni na aupaye ulimwengu uzima.”
John 6:48Mimi ni mkate wa uzima.
John 6:58Basi, huu ndio mkate ulioshuka kutoka mbinguni; si kama mana waliyokula babu zetu, wakafa. Aulaye mkate huu ataishi milele.”
John 6:66Kutokana na hayo, wengi wa wafuasi wake walirudi nyuma wasiandamane naye tena.
1 Corinthians 10:10Wala msinung'unike kama baadhi yao walivyonung'unika, wakaangamizwa na Mwangamizi!