Yohana 9:40
Baadhi ya Mafarisayo waliokuwa pamoja naye walisikia maneno hayo, wakamwuliza, “Je, sisi pia ni vipofu?”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 23:16“Ole wenu viongozi vipofu! Ninyi mwasema ati mtu akiapa kwa Hekalu, kiapo hicho si kitu; lakini akiapa kwa dhahabu ya Hekalu, kiapo hicho kinamshika.
John 7:47Mafarisayo wakawauliza, “Je, nanyi pia mmedanganyika?
Romans 2:19wewe unajiona kuwa kiongozi wa vipofu na mwanga kwa wale walio gizani;