Warumi 2:19
wewe unajiona kuwa kiongozi wa vipofu na mwanga kwa wale walio gizani;
Biblia Takatifu
In The King James Version
And art confident that thou thyself art a guide of the blind, a light of them which are in darkness,
In Context
18kwa njia ya Sheria unajua matakwa ya Mungu na unaweza kuchagua jambo jema;
Cross References
Matthew 4:16Watu waliokaa gizani wameona mwanga mkubwa. Nao walioishi katika nchi ya giza na kivuli cha kifo, mwanga umewaangazia!”
Matthew 6:23Lakini ikiwa jicho lako ni bovu, mwili wako wote utakuwa katika giza. Basi, ikiwa mwanga ulioko ndani yako ni giza, basi, hilo ni giza la kutisha mno.
Matthew 23:16“Ole wenu viongozi vipofu! Ninyi mwasema ati mtu akiapa kwa Hekalu, kiapo hicho si kitu; lakini akiapa kwa dhahabu ya Hekalu, kiapo hicho kinamshika.
Luke 1:79na kuwaangazia wote wanaokaa katika giza kuu la kifo, aongoze hatua zetu katika njia ya amani.”