Luka 17:14
Alipowaona akawaambia, “Nendeni mkajionyeshe kwa makuhani.” Basi, ikawa walipokuwa wanakwenda, wakatakasika.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
13Wakapaza sauti wakisema, “Yesu Mwalimu, tuonee huruma!”
15Mmoja wao alipoona kwamba ameponywa alirudi akimtukuza Mungu kwa sauti kubwa.
Cross References
Matthew 8:3Yesu akanyosha mkono wake, akamgusa na kusema, “Nataka! Takasika.” Mara huyo mtu akapona ukoma wake.
John 2:5Hapo mama yake akawaambia watumishi, “Lolote atakalowaambieni, fanyeni.”
John 9:7akamwambia, “Nenda ukanawe katika bwawa la Siloamu.” (maana ya jina hili ni “aliyetumwa”). Basi, huyo kipofu akaenda, akanawa, kisha akarudi akiwa anaona.