Luka 18:42
Yesu akamwambia, “Ona! Imani yako imekuponya.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
And Jesus said unto him, Receive thy sight: thy faith hath saved thee.
In Context
41“Unataka nikufanyie nini?” Naye akamjibu, “Bwana, naomba nipate kuona tena.”
Cross References
Matthew 9:22Basi, Yesu akageuka akamwona, akamwambia, “Binti, jipe moyo! Imani yako imekuponya.” Mama huyo akapona saa ileile.
Luke 7:50Naye Yesu akamwambia yule mwanamke, “Imani yako imekuokoa; nenda kwa amani.”
Luke 17:19Halafu akamwambia huyo mtu, “Simama, uende zako; imani yako imekuponya.”