Luka 23:44
Ilikuwa yapata saa sita mchana; jua likaacha kuangaza, giza likafunika nchi yote mpaka saa tisa,
Biblia Takatifu
In The King James Version
And it was about the sixth hour, and there was a darkness over all the earth until the ninth hour.
In Context
43Yesu akamwambia, “Nakwambia kwa hakika, leo utakuwa pamoja nami peponi.”
45na pazia lililokuwa limetundikwa Hekaluni likapasuka vipande viwili.
Cross References
Matthew 27:45Tangu saa sita mchana mpaka saa tisa, nchi yote ikawa katika giza.
Mark 15:33Tangu saa sita mchana mpaka saa tisa kulikuwa giza nchini kote.
John 19:14Ilikuwa yapata saa sita mchana, siku ya maandalio ya Pasaka. Pilato akawaambia Wayahudi, “Tazameni, Mfalme wenu!”