The Bible Software
bible.software › Luka › Luka 4 › Luka 4:14

Luka 4:14

Yesu alirudi Galilaya akiwa amejaa nguvu za Roho Mtakatifu, na habari zake zikaenea katika sehemu zote za jirani.

Biblia Takatifu

In The King James Version

And Jesus returned in the power of the Spirit into Galilee: and there went out a fame of him through all the region round about.

In Context

13Ibilisi alipokwishamjaribu kwa kila njia, akamwacha kwa muda.

15Naye akawa anawafundisha watu katika masunagogi yao, akasifiwa na wote.

Read all of Luka 4

Cross References

Matthew 4:23Yesu alikuwa anakwenda kila mahali wilayani Galilaya, akifundisha katika masunagogi na kuhubiri Habari Njema juu ya ufalme wa Mungu. Aliponya kila namna ya maradhi na magonjwa waliyokuwa nayo watu.

Mark 1:14Yohane alipokwisha fungwa gerezani, Yesu alikwenda Galilaya, akahubiri Habari Njema ya Mungu, akisema,

Luke 4:37Habari zake zikaenea mahali pote katika mkoa ule.

Acts 10:37Ninyi mnajua jambo lililotukia katika nchi yote ya Wayahudi kuanzia Galilaya baada ya ule ubatizo aliohubiri Yohane.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Portuguesa MundialLuther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)新标点和合本성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايكBibbia Diodati (Italiano)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)Polish Biblia Gdanska (1881)

Study Luka 4:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)Robertson's Word Pictures
← Luka 4:13Luka 4Luka 4:15 →