Luka 4:21
Naye akaanza kuwaambia, “Andiko hili mlilosikia likisomwa, limetimia leo.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
And he began to say unto them, This day is this scripture fulfilled in your ears.
In Context
20Baada ya kusoma, akafunga kile kitabu, akampa mtumishi, kisha akaketi; watu wote wakamkodolea macho.
Cross References
Luke 10:23Halafu akawaelekea wafuasi wake akawaambia, “Heri wanaoona yale mnayoyaona ninyi!
John 5:39Ninyi huyachunguza Maandiko Matakatifu mkidhani kwamba ndani yake mtapata uzima wa milele; na kumbe maandiko hayohayo yananishuhudia!
Acts 2:29“Ndugu zangu, napenda kuwaambieni waziwazi juu ya mambo yaliyompata Daudi, babu yetu. Yeye alikufa, akazikwa, tena kaburi lake liko papa hapa petu mpaka leo.