Luka 4:22
Wote wakavutiwa sana naye, wakastaajabia maneno mazuri aliyosema. Wakanena, “Je, huyu si mwana wa Yosefu?”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
21Naye akaanza kuwaambia, “Andiko hili mlilosikia likisomwa, limetimia leo.”
Cross References
Matthew 13:54akaenda kijijini kwake. Huko akawa anawafundisha watu katika sunagogi hata wakashangaa, wakasema, “Huyu amepata wapi hekima hii na maajabu?
Luke 2:47Wote waliosikia maneno yake walistaajabia akili yake na majibu yake ya hekima.