Luka 4:28
Wote waliokuwa katika lile sunagogi waliposikia hayo walikasirika sana.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And all they in the synagogue, when they heard these things, were filled with wrath,
In Context
Cross References
Luke 6:11Lakini wao wakakasirika sana, wakajadiliana jinsi ya kumtendea Yesu maovu.
Acts 5:33Wajumbe wote wa lile Baraza waliposikia hayo, wakawaka hasira, hata wakaamua kuwaua.
Acts 22:21Naye Bwana akaniambia: Nenda; ninakutuma mbali kwa mataifa mengine.”