Luka 8:48
Yesu akamwambia, “Binti, imani yako imekuponya. Nenda kwa amani.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
And he said unto her, Daughter, be of good comfort: thy faith hath made thee whole; go in peace.
In Context
Cross References
Matthew 9:2Hapo watu walimletea mtu mmoja aliyepooza mwili, amelazwa juu ya kitanda. Yesu alipoona imani yao, akamwambia huyo mtu aliyepooza, “Jipe moyo mwanangu! Umesamehewa dhambi zako.”
Matthew 12:20Mwanzi uliopondeka hatauvunja, wala utambi ufukao moshi hatauzima, mpaka atakapoifanya hukumu ya haki itawale.
Luke 7:50Naye Yesu akamwambia yule mwanamke, “Imani yako imekuokoa; nenda kwa amani.”
Luke 18:42Yesu akamwambia, “Ona! Imani yako imekuponya.”