Luka 8:53
Nao wakamcheka kwa sababu walijua kwamba alikuwa amekufa.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And they laughed him to scorn, knowing that she was dead.
In Context
54Lakini Yesu akamshika mkono akasema, “Mtoto amka!”
Cross References
Mark 15:44Pilato alishangaa kusikia kwamba Yesu alikuwa amekwisha kufa. Basi, akamwita jemadari, akamwuliza kama Yesu alikuwa amekufa kitambo.
John 11:39Yesu akasema, “Ondoeni hilo jiwe!” Martha, dada yake huyo aliyekufa, akamwambia, “Bwana, amekwishaanza kunuka; amekaa kaburini siku nne!”