Luka 8:54
Lakini Yesu akamshika mkono akasema, “Mtoto amka!”
Biblia Takatifu
In The King James Version
And he put them all out, and took her by the hand, and called, saying, Maid, arise.
In Context
53Nao wakamcheka kwa sababu walijua kwamba alikuwa amekufa.
55Roho yake ikamrudia, akaamka mara. Yesu akaamuru wampe chakula.
Cross References
Mark 1:31Yesu akamwendea huyo mama, akamshika mkono, akamwinua. Na ile homa ikamwacha, akaanza kuwatumikia.
Mark 8:23Yesu akamshika mkono huyo kipofu, akampeleka nje ya kijiji. Akamtemea mate machoni, akamwekea mikono, akamwuliza, “Je, unaweza kuona kitu?”
Luke 7:14Kisha akaenda, akaligusa lile jeneza, na wale waliokuwa wanalichukua wakasimama. Halafu akasema, “Kijana! Nakuamuru, amka!”
John 5:21Kama vile Baba huwafufua wafu na kuwapa uzima, vivyo hivyo naye Mwana huwapa uzima wale anaopenda.
John 11:43Alipokwisha sema hayo, akaita kwa sauti kubwa: “Lazaro! Toka nje!”