Luka 8:56
Wazazi wake walishangaa, lakini Yesu akawaamuru wasimwambie mtu yeyote hayo yaliyotendeka.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And her parents were astonished: but he charged them that they should tell no man what was done.
In Context
55Roho yake ikamrudia, akaamka mara. Yesu akaamuru wampe chakula.
Cross References
Matthew 9:30Macho yao yakafunguliwa. Naye Yesu akawaonya kwa ukali: “Msimwambie mtu yeyote jambo hili.”
Luke 5:14Yesu akamwamuru: “Usimwambie mtu yeyote; bali nenda ukajionyeshe kwa kuhani, ukatoe sadaka kwa ajili ya kutakasika kwako kama inavyotakiwa na Sheria ya Mose, iwe uthibitisho kwao kwamba umepona.”