Luka 8:55
Roho yake ikamrudia, akaamka mara. Yesu akaamuru wampe chakula.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And her spirit came again, and she arose straightway: and he commanded to give her meat.
In Context
54Lakini Yesu akamshika mkono akasema, “Mtoto amka!”
56Wazazi wake walishangaa, lakini Yesu akawaamuru wasimwambie mtu yeyote hayo yaliyotendeka.
Cross References
Mark 5:43Yesu akawakataza sana wasimjulishe mtu jambo hilo. Kisha akawaambia wampe huyo msichana chakula.
John 11:44Huyo aliyekuwa amekufa akatoka nje, huku amefungwa sanda miguu na mikono, na uso wake umefunikwa. Yesu akawaambia, “Mfungueni, mkamwache aende zake.”