Marko 1:43
Kisha Yesu akamwambia aende zake upesi na kumwonya vikali,
Biblia Takatifu
In The King James Version
And he straitly charged him, and forthwith sent him away;
In Context
42Mara ukoma ukamwacha mtu huyo, akatakasika.
Cross References
Mark 3:12Lakini Yesu akawaamuru kwa ukali wasimjulishe kwa watu.
Mark 7:36Yesu akawaamuru wasimwambie mtu juu ya jambo hilo. Lakini kadiri alivyowakataza, ndivyo walivyozidi kutangaza habari hiyo.