Marko 13:31
Mbingu na dunia zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Heaven and earth shall pass away: but my words shall not pass away.
In Context
30Nawaambieni kweli, kizazi hiki hakitapita kabla ya mambo hayo yote kutukia.
Cross References
Matthew 5:18Kweli nawaambieni, mpaka hapo mbingu na dunia zitakapopita, hakuna hata nukta moja au sehemu ndogo kabisa ya Sheria itakayoondolewa, mpaka yote yametimia.
Luke 21:33Mbingu na dunia vitapita, lakini maneno yangu hayatapita.