Marko 13:32
“Lakini hakuna mtu ajuaye siku au saa hiyo itakuja lini; wala malaika wa mbinguni, wala Mwana; Baba peke yake ndiye ajuaye.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
31Mbingu na dunia zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe.
33Muwe waangalifu na kesheni, maana hamjui wakati huo utafika lini.
Cross References
Matthew 24:36“Lakini, juu ya siku au saa hiyo, hakuna mtu ajuaye itakuja lini; wala malaika wa mbinguni, wala Mwana, ila Baba peke yake ndiye ajuaye.
Matthew 25:13Kisha Yesu akasema, “Kesheni basi, kwa maana hamjui siku wala saa.
Mark 13:26Hapo watamwona Mwana wa Mtu akija katika mawingu kwa nguvu nyingi na utukufu.
1 Thessalonians 5:1Ndugu, hakuna haja ya kuwaandikieni juu ya nyakati na majira yatakapotukia mambo haya.
Revelation 1:1Hizi ni habari za mambo ambayo yalifunuliwa na Yesu Kristo. Mungu alimpa Kristo ufunuo huu ili awaonyeshe watumishi wake mambo ambayo yanapaswa kutukia karibuni. Kristo alimtuma malaika wake amjulishe Yohane, mtumishi wake, mambo hayo,