Marko 14:38
Kisha akawaambia, “Kesheni na kusali ili msije mkaingia katika majaribu. Roho i radhi, lakini mwili ni dhaifu.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
Watch ye and pray, lest ye enter into temptation. The spirit truly is ready, but the flesh is weak.
In Context
39Akaenda kusali tena akirudia maneno yaleyale.
Cross References
Matthew 24:42Basi, kesheni, kwa maana hamjui siku atakayokuja Bwana wenu.
Matthew 26:41Kesheni na kusali ili msije mkaingia katika majaribu. Roho i tayari lakini mwili ni dhaifu.”
Luke 21:36Muwe waangalifu basi, na salini daima ili muweze kupata nguvu ya kupita salama katika mambo haya yote yatakayotokea, na kusimama mbele ya Mwana wa Mtu.”
Luke 22:46Akawaambia, “Mbona mnalala? Amkeni msali, msije mkaingia katika kishawishi.”
1 Corinthians 16:13Kesheni, simameni imara katika imani, muwe hodari na wenye nguvu.