Marko 15:32
Eti yeye ni Kristo, Mfalme wa Israeli! Basi, na ashuke msalabani ili tuone na kuamini.” Hata watu wale waliosulubiwa pamoja naye walimtukana.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
33Tangu saa sita mchana mpaka saa tisa kulikuwa giza nchini kote.
Cross References
Matthew 27:44Hali kadhalika na wale waliosulubiwa pamoja naye wakamtukana.
Mark 15:26Na mshtaka wake ulikuwa umeandikwa: “Mfalme wa Wayahudi.”
John 1:49Hapo Nathanieli akamwambia, “Mwalimu, wewe ni Mwana wa Mungu. Wewe ni Mfalme wa Israeli!”
John 19:12Tangu hapo, Pilato akawa anatafuta njia ya kumwachilia, lakini Wayahudi wakapiga kelele: “Ukimwachilia huyu mtu, wewe si rafiki yake Kaisari; kila mtu anayejifanya kuwa Mfalme humpinga Kaisari!”