Mathayo 27:44
Hali kadhalika na wale waliosulubiwa pamoja naye wakamtukana.
Biblia Takatifu
In The King James Version
The thieves also, which were crucified with him, cast the same in his teeth.
In Context
43Alimtumainia Mungu na kusema eti yeye ni Mwana wa Mungu; basi, Mungu na amwokoe kama anamtaka.”
45Tangu saa sita mchana mpaka saa tisa, nchi yote ikawa katika giza.
Cross References
Mark 15:32Eti yeye ni Kristo, Mfalme wa Israeli! Basi, na ashuke msalabani ili tuone na kuamini.” Hata watu wale waliosulubiwa pamoja naye walimtukana.