Marko 6:49
Lakini walimwona akitembea juu ya maji, wakadhani ni mzimu, wakapiga yowe.
Biblia Takatifu
In The King James Version
But when they saw him walking upon the sea, they supposed it had been a spirit, and cried out:
In Context
50Maana wote walipomwona waliogopa sana. Mara Yesu akasema nao, “Tulieni, ni mimi. Msiogope!”
Cross References
Luke 24:37Wakashtuka na kushikwa na hofu wakidhani wameona mzimu.