Marko 6:50
Maana wote walipomwona waliogopa sana. Mara Yesu akasema nao, “Tulieni, ni mimi. Msiogope!”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
49Lakini walimwona akitembea juu ya maji, wakadhani ni mzimu, wakapiga yowe.
51Kisha akapanda mashuani walimokuwa, na upepo ukatulia. Nao wakashangaa sana.
Cross References
Matthew 14:27Mara, Yesu akasema nao, “Tulieni, ni mimi. Msiogope!”
John 6:19Wanafunzi walipokuwa wamekwenda umbali wa kilomita tano au sita, walimwona Yesu akitembea juu ya maji, anakaribia mashua; wakaogopa sana.