Mathayo 14:24
na wakati huo ile mashua ilikwishafika karibu katikati ya ziwa, lakini ilikuwa inakwenda mrama kwa sababu upepo ulikuwa unaipinga.
Biblia Takatifu
In The King James Version
But the ship was now in the midst of the sea, tossed with waves: for the wind was contrary.
In Context
23Baada ya kuwaaga, alipanda mlimani peke yake kusali. Ilipokuwa jioni, yeye alikuwa huko peke yake,
25Usiku, karibu na mapambazuko, Yesu aliwaendea wanafunzi akitembea juu ya maji.
Cross References
Matthew 8:24Ghafla, dhoruba kali ikatokea ziwani, hata mawimbi yakaanza kuifunika mashua. Yesu alikuwa amelala usingizi.
John 6:18Ziwa likaanza kuchafuka kwa sababu upepo mkali ulikuwa unavuma.