Mathayo 17:10
Kisha wanafunzi wakamwuliza, “Mbona walimu wa Sheria wanasema ati ni lazima kwanza Eliya aje?”
Biblia Takatifu
In The King James Version
And his disciples asked him, saying, Why then say the scribes that Elias must first come?
In Context
11Yesu akawajibu, “Kweli, Eliya atakuja kutayarisha mambo yote.
Cross References
Matthew 11:14Kama mwaweza kukubali basi, Yohane ndiye Eliya ambaye angekuja.
Matthew 27:47Lakini wale waliosimama pale waliposikia hivyo wakasema, “Anamwita Eliya.”
John 1:21Hapo wakamwuliza, “Basi, wewe ni nani? Je, wewe ni Eliya?” Yohane akajibu, “La, mimi siye.” Wakamwuliza, “Je, wewe ni yule nabii?” Yohane akawajibu, “La!”