Mathayo 17:9
Basi, walipokuwa wanashuka mlimani, Yesu akawaonya: “Msimwambie mtu mambo mliyoyaona mpaka Mwana wa Mtu atakapofufuliwa kutoka wafu.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
8Walipoinua macho yao hawakumwona mtu, ila Yesu peke yake.
10Kisha wanafunzi wakamwuliza, “Mbona walimu wa Sheria wanasema ati ni lazima kwanza Eliya aje?”
Cross References
Matthew 8:4Kisha Yesu akamwambia, “Sikiliza, usimwambie mtu yeyote, ila nenda ukajionyeshe kwa kuhani, na ukatoe sadaka iliyoamriwa na Mose kuwathibitishia kwamba umepona.”
Matthew 16:20Kisha akawaonya wanafunzi wasimwambie mtu yeyote kwamba yeye ndiye Kristo.
Matthew 17:23Watamuua, lakini siku ya tatu atafufuliwa.” Wanafunzi wakahuzunika mno.
Mark 9:9Walipokuwa wakishuka mlimani, Yesu aliwakataza wasimwambie mtu yeyote mambo waliyoyaona, mpaka Mwana wa Mtu atakapokuwa amefufuka kutoka wafu.
Luke 9:21Halafu Yesu akawaamuru wasimwambie mtu yeyote habari hiyo.
Luke 24:46Akawaambia, “Ndivyo ilivyoandikwa, kwamba Kristo atateswa na siku ya tatu atafufuka kutoka wafu,