Mathayo 17:6
Wanafunzi waliposikia hivyo wakaanguka kifudifudi, wakaogopa sana.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And when the disciples heard it, they fell on their face, and were sore afraid.
In Context
7Yesu akawaendea, akawagusa, akasema, “Simameni, msiogope!”
Cross References
Acts 22:7Hapo nilianguka chini, nikasikia sauti ikiniambia: Saulo, Saulo! Kwa nini unanitesa?
2 Peter 1:18Tena, sisi wenyewe tulisikia sauti hiyo kutoka mbinguni wakati tulipokuwa pamoja naye juu ya ule mlima mtakatifu.