Mathayo 17:7
Yesu akawaendea, akawagusa, akasema, “Simameni, msiogope!”
Biblia Takatifu
In The King James Version
And Jesus came and touched them, and said, Arise, and be not afraid.
In Context
6Wanafunzi waliposikia hivyo wakaanguka kifudifudi, wakaogopa sana.
8Walipoinua macho yao hawakumwona mtu, ila Yesu peke yake.
Cross References
Luke 24:5Hao wanawake wakaingiwa na hofu, wakainama chini. Ndipo wale watu wakawaambia, “Kwa nini mnamtafuta aliye hai kati ya wafu?
Revelation 1:17Basi, nilipomwona tu, nilianguka mbele ya miguu yake kama maiti. Lakini yeye akaweka mkono wake wa kulia juu yangu, akasema, “Usiogope! Mimi ni wa kwanza na wa mwisho.