Mathayo 27:12
Lakini makuhani wakuu na wazee walipokuwa wanamshtaki, hakujibu neno.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And when he was accused of the chief priests and elders, he answered nothing.
In Context
13Hivyo Pilato akamwuliza, “Je, husikii mashtaka hayo yote wanayotoa juu yako?”
Cross References
Matthew 27:14Lakini Yesu hakumjibu hata neno moja; hata huyo mkuu wa mkoa akashangaa sana.
John 19:9Basi, akaingia tena ndani ya ikulu, akamwuliza Yesu, “Umetoka wapi wewe?” Lakini Yesu hakumjibu neno.
1 Peter 2:23Alipotukanwa yeye hakujibu kwa tukano; alipoteseka yeye hakutoa vitisho, bali aliyaweka matumaini yake kwa Mungu, hakimu mwenye haki.