Mathayo 27:17
Hivyo, watu walipokusanyika pamoja, Pilato akawauliza, “Mwataka nimfungue yupi kati ya wawili hawa, Baraba ama Yesu aitwae Kristo?”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
16Wakati huo kulikuwa na mfungwa mmoja, jina lake Baraba.
18Alisema hivyo maana alijua wazi kwamba walimleta kwake kwa sababu ya wivu.
Cross References
Matthew 1:16Yakobo alimzaa Yosefu, aliyekuwa mume wake Maria, mama yake Yesu, aitwaye Kristo.
Mark 15:9Pilato akawauliza, “Je, mwataka niwafungulieni Mfalme wa Wayahudi?”