Mathayo 27:8
Ndiyo maana mpaka leo shamba hilo linaitwa Shamba la Damu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Wherefore that field was called, The field of blood, unto this day.
In Context
7Basi, wakashauriana, wakazitumia kununua shamba la mfinyanzi liwe mahali pa kuzika wageni.
Cross References
Matthew 28:15Wale walinzi wakazichukua zile fedha, wakafanya kama walivyofundishwa. Habari hiyo imeenea kati ya Wayahudi mpaka leo.