Mathayo 27:9
Hivyo maneno ya nabii Yeremia yakatimia: “Walizichukua sarafu thelathini za fedha, thamani ya yule ambaye watu wa Israeli walipanga bei,
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
8Ndiyo maana mpaka leo shamba hilo linaitwa Shamba la Damu.
10wakanunua nazo shamba la mfinyanzi, kama Bwana alivyoniagiza.”
Cross References
Matthew 1:22Basi, haya yote yalitukia ili litimie lile neno Bwana alilosema kwa njia ya nabii: