Mathayo 5:32
Lakini mimi nawaambieni, anayempa mkewe talaka, isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, anamfanya azini; na mtu akimwoa mwanamke aliyepewa talaka, anazini.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
31“Ilikwisha semwa pia: Anayemwacha mke wake, yampasa ampe hati ya talaka.
Cross References
Matthew 19:8Yesu akawajibu, “Mose aliwaruhusu kuwaacha wake zenu kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu.
Luke 9:30Na watu wawili wakaonekana wakizungumza naye, nao ni Mose na Eliya,
Luke 16:18“Yeyote anayemwacha mke wake na kuoa mwingine, anazini; na yeyote anayemwoa mwanamke aliyepewa talaka, anazini.
1 Corinthians 7:4Mke hana mamlaka juu ya mwili wake, bali mumewe anayo; hali kadhalika naye mume, hana mamlaka juu ya mwili wake, bali mkewe anayo.