Mathayo 9:20
Mama mmoja, mgonjwa wa kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili, alimfuata Yesu nyuma, akagusa pindo la vazi lake.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
19Yesu akaondoka pamoja na wanafunzi wake, akamfuata.
21Alifanya hivyo kwani alifikiri moyoni: “Nikigusa tu vazi lake, nitapona.”
Cross References
Matthew 14:36wakamwomba awaruhusu waguse tu pindo la vazi lake; wote waliomgusa walipona.
Mark 5:25Mmojawapo alikuwa mwanamke mwenye ugonjwa wa kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili.
Mark 8:22Yesu alifika Bethsaida pamoja na wanafunzi wake. Huko watu wakamletea kipofu mmoja, wakamwomba amguse.
Acts 5:15Kwa sababu hiyo, watu walikuwa wakipeleka wagonjwa barabarani na kuwalaza juu ya vitanda na mikeka ili Petro akipita, walau kivuli chake kiwaguse baadhi yao.