Warumi 2:17
Na wewe, je? Wewe mwenyewe unajiita Myahudi; unaitumainia Sheria na kujivunia kuwa wa Mungu;
Biblia Takatifu
In The King James Version
Behold, thou art called a Jew, and restest in the law, and makest thy boast of God,
In Context
18kwa njia ya Sheria unajua matakwa ya Mungu na unaweza kuchagua jambo jema;
Cross References
Matthew 8:11Basi, nawaambieni kwamba watu wengi watakuja kutoka mashariki na magharibi, nao wataketi karamuni pamoja na Abrahamu, Isaka na Yakobo katika Ufalme wa mbinguni.
John 5:45Msifikiri kwamba mimi nitawashtaki kwa Baba. Mose ambaye ninyi mmemtumainia ndiye atakayewashtaki.
John 8:33Nao wakamjibu, “Sisi ni wazawa wa Abrahamu, na hatujapata kamwe kuwa watumwa wa mtu yeyote yule. Una maana gani unaposema: mtakuwa huru?”