Warumi 4:8
Heri mtu yule ambaye Bwana hataziweka dhambi zake katika kumbukumbu.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
Blessed is the man to whom the Lord will not impute sin.
In Context
7“Heri wale waliosamehewa makosa yao ambao makosa yao yamefutwa.
Cross References
Philemon 1:18Kama alikuwa amekukosea kitu, au alikuwa na deni lako, basi, unidai mimi.
1 Peter 3:18Kwa maana Kristo mwenyewe alikufa kwa ajili ya dhambi zenu; alikufa mara moja tu na ikatosha, mtu mwema kwa ajili ya waovu, ili awapeleke ninyi kwa Mungu. Aliuawa kimwili lakini akafanywa hai kiroho;