Matendo 28:25
Basi, kukawa na mtengano wa fikira kati yao. Walipokuwa wanakwenda zao, Paulo alisema jambo hili, “Kweli ni sawa yale aliyoyanena Roho Mtakatifu kwa wazee wenu kwa njia ya nabii Isaya
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
24Baadhi yao walikubali maneno yake, lakini wengine hawakuamini.
Cross References
Matthew 15:7Enyi wanafiki! Isaya alitabiri sawa kabisa juu yenu:
Acts 28:29Paulo alipokwisha sema hayo, Wayahudi walijiondokea huku wakiwa wanabishana vikali wao kwa wao.