Yohana 16:5
Lakini sasa namwendea yule aliyenituma; na hakuna hata mmoja wenu anayeniuliza: Unakwenda wapi?
Biblia Takatifu
In The King James Version
But now I go my way to him that sent me; and none of you asketh me, Whither goest thou?
In Context
6Kwa kuwa nimewaambieni mambo hayo mmejaa huzuni mioyoni mwenu.
Cross References
John 6:62Itakuwaje basi, mtakapomwona Mwana wa Mtu akipanda kwenda kule alikokuwa kwanza?
John 13:3Yesu alijua kwamba Baba alikuwa amemkabidhi kila kitu, na kwamba alikuwa ametoka kwa Mungu na anarudi kwa Mungu.
John 14:4Mnajua njia ya kwenda huko ninakokwenda.”
John 16:10kuhusu uadilifu, kwa sababu naenda zangu kwa Baba, nanyi hamtaniona tena;
John 16:28Mimi nilitoka kwa Baba, nikaja ulimwenguni; na sasa nauacha ulimwengu na kurudi kwa Baba.”
John 17:13Basi, sasa naja kwako, na nimesema mambo haya ulimwenguni, ili waweze kushiriki kikamilifu furaha yangu.