Yohana 16:6
Kwa kuwa nimewaambieni mambo hayo mmejaa huzuni mioyoni mwenu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
But because I have said these things unto you, sorrow hath filled your heart.
In Context
5Lakini sasa namwendea yule aliyenituma; na hakuna hata mmoja wenu anayeniuliza: Unakwenda wapi?
Cross References
Luke 22:45Baada ya kusali, aliwarudia wanafunzi wake, akawakuta wamelala, kwani walikuwa na huzuni.
John 14:1Yesu aliwaambia, “Msifadhaike mioyoni mwenu. Mwaminini Mungu, niaminini na mimi pia.
John 16:20Nawaambieni kweli, ninyi mtalia na kuomboleza, lakini ulimwengu utafurahi: mtaona huzuni lakini huzuni yenu itageuka kuwa furaha.