Mathayo 14:27
Mara, Yesu akasema nao, “Tulieni, ni mimi. Msiogope!”
Biblia Takatifu
In The King James Version
But straightway Jesus spake unto them, saying, Be of good cheer; it is I; be not afraid.
In Context
28Petro akamwambia, “Bwana, ikiwa ni wewe kweli, amuru nitembee juu ya maji nije kwako.”
Cross References
Matthew 17:7Yesu akawaendea, akawagusa, akasema, “Simameni, msiogope!”
Luke 1:13Lakini malaika akamwambia, “Zakariya, usiogope, kwa maana sala yako imesikilizwa, na Elisabeti mkeo atakuzalia mtoto wa kiume, nawe utampa jina Yohane.
Luke 2:10Malaika akawaambia, “Msiogope! Nimewaleteeni habari njema ya furaha kuu kwa watu wote.
John 6:20Yesu akawaambia, “Ni mimi, msiogope!”